top of page

Mungu Wa kweli ni Upendo,Mungu Wa kweli Hutenda kwa Haki na Ana Hekima Juu.Enyi Uzao Wa Sasa ni Mwenye Kuamini Maneno kuliko Matendo!?,Je? Mulianza kwa Imani na Mwataka kumaliza Kwa Mwili!,Je?Mumeyasahau Matendo Makuu waliyofanyiwa Babu zenu!,
Je? Ni nani Mumuaminiye na Kumuabudu Usiku na Mchana Asiyetaka kuwajibu kwa Haki!,Kwa Upendo Mkuu!,na kwa Hekima!,.
Mungu Wa Kweli anajulikana kwa Kazi zake Zionekanazo.
Karibu Katika Ardhi ya Amani @FreemanBase

bottom of page