top of page
Kama Ambavyo Ilipangwa Ya Kuwa Mnamo Tarehe 25, August, 2019 wahitimu Mbalimbali wa Masomo Yao ya Imani(Darasa la Imani) Nchini Tanzania, Kupewa Mataji Yao.
Naam, Lililo Jema Daima Hutimia Pasipo Mashaka, Na Tar 25, August…Jambo Lililo Jema Lilipata Kutimia.
Master Frenk Saimon Pamoja Na Viongozi Wengine Walipata Kuvisha Mataji Hayo Kwa Wahitimu Hao Wasiopungua 50, Katika Ukumbi wa SYPHIER BLUE LODGE, Jijini Dar Es Salaam. Pongezi Kwa Walimu na Wahitimu wote Kwa Pamoja, Hakika Mungu Wa Ardhi Ya Amani Atawatendea Mema Zaidi.
Karibu Katika Ardhi Ya Amani.
FreemanBase.










bottom of page