9,Itakupa Nafasi ya Kuishi maisha ya Ndoto Zako.
- Oct 30, 2017
- 1 min read
Ndoto ni lugha ya roho inayozungumza kimafumbo kumfanya binadamu ajitambue, kila kiumbe {binadamu } ni mwenye ndoto .Lakini hawezi kukamilisha ndoto zake pasipo mkufunzi au mtabibu,.Maisha ya mwili ni yamaigizo na maisha halisi yako katika nafsi {Roho}.
Mfano:Waweza igiza ni mwenye furaha machoni pa mtu ,lakini mwenye huzuni katika nafsi {Roho}
FreemanBase ni ngao ya ndoto zako mwanadamu, FreemanBase ni mkufunzi sahii wa fumbo la ndoto ya mwanadamu.
