
Yajayo Ni Mambo Mawili Tu kwa Aliye Kiumbe Mwenye Utashi(Binadamu).
1.Mabaya Sana.
2. Mazuri Sana.
Naam!! Mwenye Kuyachagua Ni Mwanadamu Mwenyewe kwa Maana Ukipata Kujitambua Mapema Utayapata Yaliyo Mema Na Ladha Sahihi kwa Wakati Ulio Sahihi, Upatapo Kuamuka Ukakuta Mawazo Yako Ni Yenye Kupingana Vikali na Imani Yako, Basi Wastahili Kuomba Hekima kwa Mungu Sahihi.
Usiyashangae, Usiyapende, Usivutiwe na Maisha Ya Mtu Mwingine na Ungali Na Uwezo Wa Kuyatengeneza Yako Yenye Kutamabisha Na Kukubalika Na Wenye Kukutazama.
USIOGOPE Kuishi Maisha Yako Mwenyewe, Kwa Maana Daima Yatakupa Amani, Hekima, UPENDO na Busara Za Kweli, Kitu Ukipendacho Zaidi Ndiyo Kitu Sahihi zaidi Kukifanya Katika Maisha Yako.
Naam! USIOGOPE Kwa Maana Ndiyo Mkombozi Wako na Ndoto Zako Ni FreemanBase.
Karibu Daima Katika Ardhi ya Amani.
Tanzania 🇹🇿 WhatsApp & Call +255658685324. Mr Frenk Saimon. Email:freemanbase13@gmail.Com
Angola 🇦🇴 WhatsApp Pekee +244998040780 Freemanbase.angola Email:freemanbase.angola2018@hotmail.Com
Kenya 🇰🇪 Piga Simu / Call +254781610601 Miss Juddy Knight Lii Email:freemanbase13@gmail.Com.


