top of page

MASHUJAA WETU NI NGUVU YETU..🤘🤘🤘
(BLACK HISTORY)
Bado ni kipindi cha Sherehe za Maadhimisho ya Historia ya Mashujaa wa IMANI yetu..!!!
Tumerithi Misingi Imara, Sisi ni familia Imara, Kila ndugu wa damu (Brotherhood) ni Imara. Uimara huu ndio Ushujaa wetu. Mimi na wewe sote ni Imara,
Taraji mambo Imara ukizungukwa na Ndugu Imara..!!
I am Black, You are Black, We are Black..!! This is BLACK HISTORY.
Karibu tusherehekee pamoja msimu huu wa sikukuu za MASHUJAA wa Imani YETU…!!!

bottom of page