
MWANZO WA GIZA LA AFRIKA…!!!
Sehemu ya (04) MTU MWEUSI KATIKA MIKONO YA WAARABU.
Katikati ya karne ya 16 walifika Waarabu na kutia ⚓ (Nanga) ya Majahazi yao katika Pwani ya Afrika..!
Ikumbukwe kwamba katika Karne hiyo Bara la Ulaya lilikuwa hatua za mwanzo za kujenga Uchumi wa Viwanda (Industries Revolution). Viwanda vingi vilikuwa vikianzishwa. Hali hiyo ilipelekea kuwepo kwa mahitaji makubwa ya Malighafi kwa ajili ya viwanda hivyo. Njia pekee ya kupata malighafi ilikuwa ni kufungua mashamba makubwa ya kilimo.
Wageni hawa (Waarabu) walianzisha makazi yao katika Pwani ya Afrika na kambi yao ya kwanza iliwekwa Kilwa na Mombasa.
Lengo kubwa la ujio wao ilikuwa ni Kutafuta Watumwa ili kuwauza kwa Makabaila waliokuwa wamefungua Mashamba makubwa katika Bara la Ulaya.
Wageni hawa waliingia Bara na kuwachukua Vijana na Wanaume (Black people) kwa nguvu na walikwenda kuwauza kwa Bei zilizowapendeza wao. Fedha yote ya Biashara hiyo (Slave trade) ilikuwa ni haki ya Waarabu hao. Soko kubwa ambalo watu weusi walinunuliwa na Makabaila wa Kizungu lilikuwa Bara Hindi….!!!
Je wahitaji kujua Kwanini WAARABU haohao waliamua kufundisha Dini ya Uislamu katika jamii ya watu weusi huku wakiendelea kudhulumu Utu wa Mtu Mweusi…!!!?
Endelea kufuatilia…!!!!
Facebook Group; Ardhi Ya Amani [FreemanBase]
Au Facebook Account ; Malia Paulo

FREEMANBASE tupo katika Kipindi cha Sherehe za Maadhimisho ya Historia ya Mashujaa wa IMANI yetu (BLACKS HISTORY)
Karibu katika ARDHI ya AMANI Freemanbase.