
Be Inspired with Malia Paulo From East Africa.(Tanzania).
Unapoanza tu kufuata Njia Ya Mafanikio wanaokuunga mkono na wasiokuunga mkono wote huwa wanaanza kukuangalia na kukufwatilia kwa ukaribu sana, sasa kazi yako moja kubwa jitoe kwa bidii sana ili mafanikio yako yapige makelele. Kwanini naelezea habari kwa picha ya Siku Nyingi Kidogo?(February 2010)
Nilitembelea hii hotel 🏩 kubwa ambayo sikuimaliza.
Huu ni mji mpya unaitwa Sharm El Sheikh hapo ilikuwa baada ya kuona pyramids, mto Nile, kupanda ngamia. Hotel 🏩 ambayo tulilala tuliambiwa ni watu wa kwanza toka Africa Mashariki kulala hapo usipate tu picha. Kwenye picha nipo nje ya chumba changu kwa mbali Nilikuwa Naitazama bahari ya Sham, sasa huu mji aliyekuwa akituelekeza sasa,kama umesoma Kile #KITABU_CHA_STORI(Biblia) Kitabu cha Kutoka chote kipo hapo, alikuwa anataja sehemu zote hadi unafurahia sema hatukuweza kuzunguka kote.
Point kuu ni nini MAamuzi yangu yalinifanya kwenda huko Na kuona Mengi Ambayo Kwangu Yalikuwa Kama Ndoto . Nikikutana na Mathomaso,Hebu tuambie Mahamuzi yako yamekupa nini..???? huwa nachagua kipengele kimoja tu na mwisho namwambia kabisa nilifanya Mahamuzi kwanza Na kutafuta Njia Ya Kweli Yenye Watu Ambao Wanaweza Nishika Mkono, Nayo Si Nyingine Ni FreemanBase {ARIDHI YA AMANI}.
March 2010 nilienda Egypt nikatembelea Cairo na Sharm El Sheikh, nawazaga hivi Ningekuwa mwenyewe bila #FREEMANBASE hii, ningeenda hizo sehemu!! najipa jibu hapana,Na Leo Naishi #California na Bado ninauwezo wa Kuizunguka Dunia Vile Nitakavyo Mimi!!!,
Bora niwe kiziwi kwa wasioelewa nafanya nini maana hawajaenda nilikoenda na hawataenda kwahiyo ni vitu viwili tofauti. Tafakari ….Kisha Uchukue Hatua.
Karibu katika Ardhi ya Amani.
@FreemwnBase
