
When a Bird Is Alive…It’s Eats Ants,…When a Bird has Died Ants Eat It.
One tree can be made into a Millions Matchsticks…,But Only One Matchstick is Needed to burn a Million trees!.
Circumstances can change at any time….don’t devalue or hurt anyone in this Life…. You May be powerful today, But time is More Powerful than You.
★. ★. ★.
Ndege akiwa hai, Huwala Wadudu,….Ndege Huyu akifa Huliwa na Wadudu.
Mti Mmoja unaweza Kutumika Kutengeneza Mamilioni ya njiti za Vibiriti….Lakini! Njiti Moja Tu ya Kibiriti Itahitajika Kuteketeza Mamilioni ya Miti(Msitu).
Hali Inaweza Kubadilika Wakati Wowote Ule,…… Usiishushe Thamani ya Mtu au Kumuumiza Yeyote Katika Haya Maisha…..Unaweza Kuwa Ni Mwenye Nguvu Sana Leo, Lakini Tambua Kuwa Mda Unanguvu Sana Kukuzidi Wewe.
