top of page

FREEMANBASE :itakufanya kuwa ni Mtu Mwenye KUTAMBUA Maisha ya NAFSI yako.
Ukiwa ni Mwenye kutambua mambo yaliyo ya Haki na Asili,Mungu wa Ardhi ya Amani na Nguvu ya Asili! Vitakuondolea Uso wenye Macho ya Soni na Kukupa Nguvu ya Haki kuona Maisha ya Nafsi yako.
Nafsi ya Awaye yeyote Mwenye Kusafiri Katika Ardhi ya Amani ni Yenye Kuvaa vazi la Mda Mfupi[Vazi la Mauti],na Nafsi yake ni yenye Kuishi Daima[Milele].
Karibu katika Ardhi ya Amani

bottom of page