FRENK SAIMON’s Day
- Jan 14, 2020
- 1 min read
Freeman Base Grand Lodge G E.A
January 14.2020. Tunasherekea Miaka 30 Ya Grand Master Frank Saimon (GMSF) Katika Ardhi Ya Amani,
Amefanya Mambo Makubwa , Yenye Kushangaza Juu Ya Anga , Chini Ya Ardhi Na Mbele Za (MUNGU NA MIUNGU YA ARDHI YA AMANI).
Na Leo January 14.2020, Mh.Frenk Saimon Anaingia Katika Historia Za Viongozi Wakubwa Africa na Ulimwengu Kiujumla.
MUNGU NA MIUNGU YA ARDHI YA AMANI, Iendelee Kusimama Pamoja Na Wewe Kiongozi Wetu *Frenk Saimon*.
Nyote Tunawakaribisha Sana Katika Ardhi Ya Amani.

