Itakufanya mtu Mwenye kutambua Jambo Lililo Jema Na Baya
- Sep 8, 2017
- 1 min read
Hekima ya Mungu wa Ardhi ya Amani ni kamilifu na asili yako (mwanadamu) ni Timilifu, ikiwa ni Heri Kuyafunza mambo yaliyo ya Haki na Asili, Popote ulipo nguvu ya Haki itakuwa juu yako kwa kuwa ni Mtu uliyefunzwa Utambuzi wa Haki na Asili.