Jipe Nafasi Mwenyewe.🕍
- Jun 25, 2019
- 1 min read
UTAJIRI,HESHIMA na NGUVU, Huwa ni Vya Aliye Navyo Pekee, Usije Jipa Moyo Kisa Baba yako Ni Tajiri na Anaheshimika…Basi nawe Ukajiona Kama Yeye,!! Usije Jipa Moyo Kisa Kabila lako Ni Lenye Heshima na Nguvu…Ukajisifu wewe Kabila Fulani Halafu Huna Kitu!!, Usije Jipa Moyo Kisa Upo katika Chama Tajiri,Chenye Nguvu na Heshima,Wakati Wewe Bado Masikini!!, Usije Jipa Moyo Kisa Upo katika Jiji au Nchi Yenye Watu Matajiri,Wenye Nguvu na Heshima!!, Wakati Wewe Ni Masikini wa Kutupwa!!, Usije Jipa Moyo Kisa Upo katika Dini yenye Nguvu,Tajiri na Heshima Duniani, Wakati Wewe si Kitu Kati Yao!!,
”Aliye na Nguvu Atakubania Tu”
Jihurumie,Jitathimini,Jiamini,Amua,Songa Mbele……Maamuzi yako Leo Ndiyo yatakayo Kufanya Huru,Mwenye Nguvu,Heshima na Utajiri…..Usimutazame Wala Kumusikiliza Mwenye Maamuzi,Fikra na Ndoto Tofauti na Wewe. Ufahamu wako,Nafsi yako, Matendo yako Ndivyo Vyenye Nguvu Kubwa kuliko chochote Hapa Duniani. Usiseme, “Mimi Mungu Kaniandikia Umasiki Tu”
Wakati Ni Sasa,Baadaye Hautokuwa Wakati wako Sahihi,Bali Utakuwa Ni Wakati Wa Mtu mwingine Sahihi. Karibu katika Ardhi ya Amani #FreemanBase
Tanzania 🇹🇿🇹🇿+255658685324. Cc #Frenk_Saimon
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪+254781610601. Cc #Juddy_Knight_Lii.
