
Kwanza Uikubali Hali Uliyokuwa Nayo Sasa, Kisha Tafuta Namna ya Kuikabili/Kuondokana Nayo. Wakati Daima Upo Na Utaendelea Kuwepo, LAKINI Wakati Ulio Mzuri Na Wenye Kufaa Zaidi ni Sasa. Kubali Kujifunza Kitu Kipya Sasa. Kubali Kubadilika Kuanzia Sasa. Fanya Maamuzi Chanya Sasa. Chukua Hatamu ya Maisha ya Kale Sasa.
Wewe Ndiye Mwanzo Na Mwisho.. Kuwa Masikini Na Kupanda Mbegu Ya Umasikini Katika uzao wako Au Kuwa na (Mafanikio Au Heshima) Na Kupanda Mbegu Ya (Mafanikio au Heshima ) Katika Uzao Wako,
Fanya Maamuzi Leo Fuata Mwanga FreemanBase Tukalijenge Taifa Moja, Dunia Moja, Isiyo Na Njaa, Taabu, Machazi, Damu, Vita kwa Faida Yetu Na Uzao Ujao Sote tukaishi Kwa Pamoja Kwa Upendo, Furaha Na Amani.. Karibu Katika Ardhi Ya Amani. FreemanBase.

