top of page

Tazama ni siku nyingine tena yenye kupendeza machoni pa Mungu Mkuu, Kama ilivyokawaida yetu kuketi pamoja na kuzungumza na Mungu wetu, Karibu na wewe ambaye bado hujawa mmoja wetu tujumuike pamoja. Ikiwa Dunia nzima ipo katika kipindi hiki cha mlipuko wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya CORONA( COVID-19) Freemanbase inaendelea kutoa POLE. Kwa Mungu wetu Kuna Uzima ,karibu pamoja tuepushiwe Janga hili.
Karibu katika Ardhi ya Amani (Freemanbase).

bottom of page