
Maumivu ni Sehemu Ya Maisha Na Mafanikio!! Hivyo Kamwe Usitegemee Mafanikio Yasiyo Na Maumivu, MAUMIVU Siyo Lazima yawe ya Kukutoa Vidonda, Siyo Lazima Yawe ya Kukuumiza Nafsi Na Moyo Wako, HAPANA!!
Ili Uyapate MAFANIKIO mema Lazima Ukubali Kubadilika, Kutoka Kwenye Njia Uliyokuwa Ukipita Siku Zote, Kula, Kulala, Kuwaza Na Kufikiri Tofauti ni Maumivu Makali sana. Umezoea Kupanga Matumizi ya U.S.Dollars 10$ Kwa Siku, Kesho Uanze Kupanga Matumizi ya U.S.Dollars 500$ hadi 1000$ Au Zaidi, Ni Mateso Na Maumivu Makubwa Sana. Maumivu Daima Huenda Sambamba Na Furaha, Amani, Faraja, Matumaini, Haki Na Kheri Nyingi. USIOGOPE MABADILIKO. Mabadiliko ni mafanikio. Anza Kubadilika Sasa, Upate Mafanikio. Karibu Katika Ardhi ya Amani FreemanBase
🇹🇿+255658685324. 🇰🇪 +254781610601. PIGA KWA MAELEZO ZAIDI Kuhusu Namna ya Kujiunga Nasi.🤘🏾




