top of page

MKUTANO Mkubwa wa FreemanBase 2019 kufanyika Afrika Mashariki.
Mkutano Huu Utawakutanisha Viongozi Mbalimbali wa FreemanBase Kutoka Nchi Zote Za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini Mwa Jangwa la Sahara,(Angola, R.D.C. Congo, Zambia, Tanzania, Madagascar, Malawi, Mozambique, Botswana, Lessotho, Swazland, Namibia na Africa Kusini).
Mkutano Huu Utafanyika Katika Hekalu la FIAT LUX Hall(East Africa Headquarters) Visiwani Zanzibar, Mnamo Tarehe 28-August-2019.

bottom of page