top of page

Umefanyika Na Hatimaye Umefika Tamati.
Hakika Yaliyo Mema Hufuata Waliyo Wema na Huambatana Nao Hata Hatima ya Safari, Naam Mkutano Mkuu Kusini Mwa Jangwa la Sahara Uliokuwa Ukiendelea Visiwani Zanzibar Tangu Mnamo Tarehe 28-August Umehitimika Mnamo Tarehe 30-August-2019, Kwa Faraja Kuu na Neema Ya Mungu Wa Kweli.
Mkutano Huu Ulijumuisha Viongozi(Masters) wa Taasisi ya Ardhi ya Amani, Wote Kutoka Mataifa Yote Yapatikanayo Kusini Mwa Jangwa La Sahara,
Tanzania, Mozambique, Botswana, R.D.Congo, Zambia, Malawi, Angola, Namibia, Madagascar, Swazland, Lesotho, Afrika ya Kusini.
🇿🇦🇲🇬🇲🇿🇱🇸🇸🇿🇳🇦🇧🇼🇦🇴🇹🇿🇨🇩…..
Karibu Katika Ardhi ya Amani,
FreemanBase.
+255 658 685 324__Tanzania.
+254 781 610 601__Kenya.
+244 998 040 780__Angola.
bottom of page