top of page

Mkutano Umefanyika na Utaendelea Siku ya Leo na Kesho. 🕍🇹🇿🇦🇴🇧🇼🇨🇩🇳🇦🇸🇿🇱🇸🇲🇿🇲🇬🇿🇦
Habari Ndugu Wanadamu, Kama Ambavyo Dunia Yazunguka Daima Yatupasa Wanadamu Kutenda Yaliyo ya Kheri na Amani Kuu Ikawe Juu Yetu.
Naaam!! Tarehe 28, August, 2019 Umefanyika Mkutano Mkubwa Nchini Tanzania,Katika Visiwa Vya Zanzibar (East African Headquarters), Uliokutanisha Viongozi wa Taasisi za Ardhi ya Amani Kutoka Nchi Zote Za Kusini Mwa Jangwa La Sahara.
Mkutano Huu Umejumuisha Mijadala, Hotuba na Sera Za Kudumisha na Kukuza Tamaduni za Ardhi Ya Amani Ulimwenguni Kote kwa Neema ya Mungu Mkuu.
Mkutano Utaendelea Leo, na Kesho Kufikia Hitimisho, Mnamo Tarehe 30, August, 2019.
Karibu Katika Ardhi Ya Amani,
FreemanBase.












































































bottom of page