top of page

Kila kunapokucha sura ya Maisha huja mpya, Masikini kuzidi kataabika na tajili kuzidi kupanua Upeo Wake na Nguvu.
Yote yapo kwenye hii dunia ,Nafasi moja ikiteleza vyote vinapotea. Twashukuru ufalme mkubwa na wewe uliyetuumba na kuiumba dunia hii. Na Leo Twaiona siku mpya Iliyo Njema na yenye Mafanikio Machoni na Katika Fikra Zetu. Nawatakia siku njema nyote mliopo Katika Uhuru.
Karibu Katika Ardhi Ya Amani, #FreemanBase.





bottom of page