
Ndugu Zetu Wazaliwa Wa Kusini Mwa Afrika, Yawapasa Kujua Na Kutambua Ya Kuwa Sisi Sote Ni Ndugu Wa Damu, Na Jukumu Lililo Kuu Kwetu Kuwepo Katika Ulimwengu Huu Ni Kutimiza Maana Na Mungu(UPENDO).
UPENDO Wastahili Nafasi Ya Kipekee Katika Maisha Yetu Ya Leo, Yatupasa Kumtambua Adui Yetu Hakika Na Tumpinge Kwa Nguvu, Akili na Roho Zetu Zote, Kuondoa Pumzi Aliyoweka Mungu Panapo Mtu Mwingine Siyo Sahihi.
Tuupinge Ujinga, Upumbavu na Ubuguzi Wa Matabaka.
FreemanBase Yawaombea Kheri Juu Yenu Wote Ulimwenguni.
★ ★ ★
Dear South African, You have To Know And Understand Deeply in Your Heart That We are All Brothers, And Our Only Duty Into this World Is To Full fill the Meaning of Our God(LOVE).
LOVE deserve a Special place into Our today’s Life, We have A Task To Know Our Real Enemy and Fights Him With All Of Our Soul, Power and Brain. Making Others Loose thier Breath Isn’t our Right.
We Must Resist Ignorance and Idiots ideas and Segregation into our Life.
FreemanBase Wishing Luck Over All Brothers into the Worst World.
Welcome into the Land of Peace.
