
Freemasons love ourselves a good Allegory,We consider our Higher POWER the Architect of the UNIVERSE,which is why there is such an Emphasis on religion in the Traditional Freemason mindsets.every symbol is a lesson and those symbols are Generally taught in Allegories.An Allegory is a story that being used to tell other Stories,where everything is a symbol for something more Profound,even the people in the Stories,. Allegories are often used to make learning about complex subjects easier by entertaining people.Every Parable taught by JESUS was an Allegory of some kind,If you read the BIBLE you might find that a good majority of the people teaching scripture to other,did it with an Allegory.The sequence of degrees masons go through is in itself Allegorical and the Sequence represents human existence.Allegories are also great ways to hide the principle of your secret Organization from the Uninitiated,So there is that too.
SEHEMU YA 07.
ISTIARI.
Sisi siku zote ni wenye kuzipenda Istiari sana,Tunazingatia sana NGUVU tuliyo nayo katika Ujenzi wa ULIMWENGU.na ndiyo maana tunatia mkazo sana katika DINI na TAMADUNI zetu na Akili pia.Kila alama ni fundisho na Mafundisho yote kuzungumzwa na Kufundishwa katika Istiari.Istiari ni Stori ambayo hutumika kufafanua stori nyingine ambayo kila kitu huwa ni Alama ya Jambo fulani, la KUSHANGAZA/KUBWA/SIRI yaweza kuwa watu pia,. Istiari pia hutumika kutengeneza mafunzo kuhusu mambo muhimu kwa kuburudisha.kila Mfano uliotowa na YESU ulikuwa ni Istiari,kama ni msomaji wa BIBLIA utapata kutambua ya kuwa watu wengi wamekuwa wakitoa Mafunzo kwa Kutumia Istiari.Mlolongo wa Degree za Kifreemason upo katika Istiari ya kipee,na Mlolongo huu unahusisha uwepo wa BINADAMU,. Istiari pia ni njia nzuri ya Kuzificha sheria zilizo za siri katika Ushirika wako wa siri,.usije haribiwa kwani ni wa siri na Umeuanzisha wewe.Istiari hutumika hapo pia
