
Uchaguzi wake Kati ya Mema au Uovu huamuliwa na Mtumiaji. Ingawa siyo zambi Kuwa masikini!, LAKINI Sherehe/Matokeo ya Umasikini Ni Mizizi ya Ubinafsi.
Mtu ambaye ni masikini anaweza kuokoa Maisha ya Mtu Mmoja, Lakini Mtu aliye Tajiri anaweza kujenga Hospitali na kuokoa Maisha ya Maelfu ya Watu. Masikini anaweza Kufanya kidogo kuwasaidia Masikini wenzie, Lakini Matajiri wanaweza Kuwasaidia wengi Kama Wanavyoweza. Ikiwa Mtu ni Tajiri Ana Nafasi ya Kufanya Mema Zaidi, Lakini Ikiwa Ni Masikini hawawezi kusaidia Mtu yeyote isipokuwa wao Wenyewe.

Wale walio na Uwezo Mdogo Wanaweza Pia Kufanya Mengi Makubwa.
Pesa Ni Karatasi tu na Namba ambazo zinatumiwa kwa Wakati wa Mtu na Juhudi, Kwa Hivyo Kama Mtu Hana Pesa Haimaanishi kuwa Hawezi Kufanya Jambo. Wanaweza badala yake kutumia mda wao na Jitihada za Kuongeza Maendeleo ya Ubinadamu!! Vitendo vyema ambavyo vina thamani Sawa na misaada yoyote itokanayo na Pesa.
Bahati kubwa aliyonayo Mtu yoyote yule Ni Wajibu Mkubwa kwa Wanadamu wenzake Kama Piramidi, Wale Walio na Nguvu kubwa Wanaweza Kufanya Mazuri Zaidi kwa Idadi Kubwa ya Wale Walio Chini Yao.
Karibu Katika Ardhi ya Amani, #FreemanBase
