
Katika Utamaduni Mkubwa, Kiasi Kikubwa Cha Mtazamo Kimewekwa Kwenye Imani Ya FreemanBase, Ni Kwamba PESA siyo Mbaya. Ingawa Walio Nje Wanaona Faraja tuipatayo katika Kazi na Utajiri Wetu Ni Kukuza Ubinafsi.__ Kuelewa Maana ya Pyramid na Ujumbe wake wa Msingi Ndiyo Unaosababisha bidii yetu na Mafanikio Kiujumla.
Katika Imani ya FreemanBase!, Utajiri na Kuwa na PESA Nyingi siyo Sababu za Ubinafsi!!, Bali PESA Ni Chombo Ambacho Kinaweza Kutumika Kutekeleza wajibu wa Kila Mtu kwa Maendeleo ya Watu Wote Ulimwenguni.
Utafutaji wa PESA kwa Ubinafsi SIYO Lengo halisi, Bali Kutafuta PESA Kwa Ajili ya Faida na Kutimiza Malengo ya Binadamu Wote Ndiyo Halisi ya Uwepo wa PESA na Utajiri.
PESA zaidi Mtu anayo Miliki, Vivyo Hivyo Ndivyo Anapaswa Kusaidia au Kubadilisha Maisha ya Wanadamu Wote Wenye Uhitaji, Hii haina Maana ya Kwamba Ukiwa Maskini wa Kipato Badi Ushindwe Kusaidia au Kubadilisha Maisha Ya Mtu Aliye Maskini wa Viungo Vyake(Mlemavu au Wazee Vikongwe). Mwanadamu Mwema Ni Mwenye Moyo Wa Huruma na Kusaidia.
Karibu Katika Ardhi Ya Amani #FreemanBase.
