top of page


Kamwe Na Daima Usiishi Kwa Hisia. Unahisi Utafanikiwa Au Utafeli,!! Unahisi Wewe ni Mfuata sheria Au Siyo Mfuata Sheria,!! Unahisi Ulipo katika Kazi,Dini,Jamii,Maisha kiujumla ni Sahihi Au Si Sahihi,!! Unahisi Wewe Umri wako Unaruhusu Kuoa/Kuolewa Au Bado,!! Unahisi Kiwango cha Akiba ya Pesa,Mali,Maneno ni Sahihi Au Si Sahihi,!!
BALI……. Ishi Maisha Yako halisi Na Uji AMINI Kwa Nafasi,Mahali,Wajibu,Uhusika Wako Katika Kila Hatua Unayokwenda.Kutokujiamini ni Uhakika wa Kufeli Kwa Jambo/Hisia zako Mwenyewe. Amka Sasa Na Ujiamini Ukiwa Katika Ardhi ya Amani,Ardhi Yenye Nuru,Ardhi yenye Upendo,ARDHI HURU
#RamadhanKareem 🌙🌙 Kwa Waamini.
bottom of page