top of page

Ameaga Dunia Akiwa Na Umri Wa Miaka 81,Ndani ya makao Makuu Ya ARIDHI YA AMANI AFRIKA MASHARIKI Jimboni Zanzibar.
Mwili wake Utasafirishwa Mnamo Tarehe 01-February,Kuelekea Makao Makuu ya Afrika, Nchini Afrika ya Kusini.Kwa Ajili ya Kuuaga mwili wake na Kumuruhusu Akaufikie Mwanga Ulio halisi kwake.Mwili wake Utaagwa na Viongozi Kadhaa Duniani Ukiwa Nchini Afrika Ya Kusini.Na Mazishi yake Yatafanyika Mnamo tarehe 05-February 2018.
Ametumikia Ardhi ya Amani kwa Kipindi cha Miaka 59,Tangu Pale Alipojiunga,Na Alifikia Hatua ya Kuwa MHAZILI NA MUASISI MKUU WA TAASISI AFRIKA MASHARIKI NA KATI.
Ni pengo Kubwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Pole za Dhati ziifikie Familia yake na Nduguze wa Damu(Ardhi ya Amani),

bottom of page