TAARIFA KWA WOTE.
- Dec 19, 2019
- 1 min read
“Kila Lililo Na Mwanzo Halikosi Mwisho”
Hatuna Budi Kumshukuru MUNGU MKUU kwa Kututimizia Aliyo Yapanga Juu Yetu Kwa Mwaka Wote 2019, Na Hata Sasa Tunaelekea Kutimitisha Mwaka Kwa Kubakiwa na Siku za Kuhesabika!! Naam!! #FreemanBase Yatoa Shukrani Za Pekee Kwako Wewe Uliyeshiriki Kwa Namna moja Au Nyingine Katika Kulikuza Jina Lililo na Mamlaka Juu Yake! (FreemanBase). Na MUNGU MKUU Akakuvushe Salama Mwaka 2020. Naam!! Mapumziko Ni Lazima Kuwepo kwa Yeyote Mwenye Kutenda Kwa Bidii!! Nasi FreemanBase Tunapenda Kutoa Taarifa Ya Kuwa, Tutakuwa Katika Pumziko Kwa Mda Usiopungua Wiki Mbili!! Pasipo Kupokea Simu Zenu!!. Ni kuanzia Tarehe 23-December-2019 Mpaka 07-January-2020.
Panapo Mabadiliko! Tutawajuza Wenye Kustahili Kujua. Karibu Katika Ardhi ya Amani.
Piga Simu Sasa Kwa Maelezo zaidi Tafadhali!, Hakikisha Unatimiza Malengo Yako Kabla ya Mwaka Kuisha.
+255658685324.
