Taarifa, Tanzania 🇹🇿
- May 23, 2019
- 1 min read
Ndugu Zangu wa TANZANIA 🇹🇿 , Na Nchi Tofauti Napenda Kuwaomba Radhi Kwa Wale Wote Mumekuwa Mukipiga Simu Kwa Siku Kadhaa Zilizo pita Bila Mafanikio(Kupokelewa), Mumetuma Jumbe Bila Kujibiwa 🙏🏿, Yote Ni Kwa sababu Ya Mambo Yaliyo Kuwa Nje Ya Ufahamu Wangu. Naam!! Nami Sina Budi Kuwakaribisha Tena Kwa Wakati Wa Siku ya Kesho,(Tarehe 24_May) Mpate Kupiga Simu Nami Nitazungumza Nanyi Yaliyo Ya Kheri Zaidi Kwako na Ardhi ya Amani.
Karibuni Nyote Katika Ardhi ya Amani, #FreemanBase
Cc Frenk Saimon +255658685324.
