top of page

Sometimes the Best thing you can do or Your Own Happiness is not to Think, not Wonder, not Imagine,not Obsess!! Just Breathe and Have Faith that Everything will work Out for the Best!. And ……
If there’s a even a Slight chance at getting something that will Make You happy, RISK IT!!, 😲💪🏿…..For Life’s too Short and Happiness is too Rale.
Wakati Mwingine Jambo Jema Zaidi Kulifanya kwa Ajili ya Furaha Yako Mwenyewe ni Kuacha Kufikiri, Kuacha Kushangaa, Kuacha Kuhisi, Kuacha Kujiuliza!! na Badala yake Vuta Pumzi na Amini Kuwa Kila Kitu Kitaenda Sawaa!. Na…..
Kama Kuna nafasi Angalau ndogo Sanaa ya Kukipata Kitu Kitakacho Kupatia Furaha, JITOE!!,😲💪🏿….. Na Ufanye. Kwasababu Maisha Ni Mafupi Sana na Furaha Ni ya Nadra Mno.

bottom of page