top of page

THE FIRST FREEMANBASE’S CONFERENCE IN TANZANIA. MKUTANO WA KWANZA WA ARDHI YA AMANI TANZANIA.
Here are some photos showing Some freemanbase’s Family[members] who participated on the First conference of 2017, held in Tanzania at the East African Headquaters of LODGE OF PATRA M.A 16,Dar es salaam. on April 26 to April 28 2017.This Conference spent only Three Days.
Got experience, and believe in yourself.Make decision
Hapa ziko baadhi ya picha zinazoonyesha wanafamilia ya FreemanBase[Ardhi ya amani],ambao walipata kushiriki Mkutano wa kwanza kufanyika mwaka 2017,Nchini Tanzania katika Makao makuu ya Afrika mashariki HEKALU LA PATRA M.A 16,Dar es salaam.Mnamo tarehe 26 hadi 28 Mwezi wa nne[4] 2017.
Pata Uzoefu,Jiamini na Ufanye Maamuzi.
Karibu katika Ardhi ya Amani.@FreemanBase.
Freemanbase13@gmail.com
bottom of page