
Don’t ever talk about your Financial Ability in front of Poorest One,Don’t ever talk about your Super Health in front of Illness,Don’t ever talk about your Power in front of Powerless,Don’t talk about your Happiness in front of Sorrows Person,Don’t talk about your Freedom in front of Prisoner,Don’t talk about your Children in front of Sterile person,Don’t talk about your Parents in front of Orphans,.
The pain they got it’s Impossible to live Them,THEN Try to Focus much on Money,For at least they’ll make you Comfotable Upon a Time.
Welcome into the Peaceful Land @FreemanBase
Kamwe Usizungumze uwezo ulio nao kipesa mbele ya Mtu FUKARA,Usizungumze Uimara wa Afya yako mbele ya Mtu Mgonjwa,Usizungumze nguvu ulizo nazo mbele ya Mtu dhaifu,Usiizungumzie Furaha yako mbele ya Mtu mwenye Majonzi,Usizungumzie Uhuru wako mbele ya Mfungwa,Usizungumzie kuhusu Watoto wako mbele ya Mtu Mgumba/Tasa,Usizungumzie wazazi wako mbele ya Mtu Yatima.
kwasababu maumivu wayapatayo ni vigumu Kuyaepuka kwa upesi.
Jitahidi kuweka jitihada katika utafutaji wa Ridhiki/pesa kwa maana zitakufanya mwenye Furaha na Kujiamini wakati mwingine.
Karibu katika Ardhi ya Amani #FreemanBase.
