
UMASIKINI NI LAANA.
Wakati Umefika Wajiitao Watumishi Wa MUNGU Wafundishe Ukweli Kwamba MBINGUNI/PEPONI tunakwenda, lakini Maisha ya Hapa Duniani pia yanatuhusu. UHALISIA ni Kwamba,MUNGU hakutuumba kwa Kusudi la Sisi Kupata Mateso,na MUNGU hapendi Umasikini wala Hakutuumba tuwe MASIKINI.Ndiyo Maana Aliumba DHAHABU na FEDHA na Akatupatia Ruhusa ya Kumiliki. SIHUKUMU;Lakini Naamini UMASIKINI Ndani ya AFRIKA na KANISA/MUSIKITI Unasababishwa na Mafundisho ya Baadhi ya VIONGOZI Wa DINI yenye Kuufanya Umasikini Uonekane ni Kitu cha kawaida.
#HAPANA____UMASIKINI_NI_LAANA.
“Etii_____Ni Ngumu kwa Tajiri Kuingia MBINGUNI,Kuliko Ngamia Kupenya Katika Tundu la Sindano”!!!!.. Je?___MFALME Suleiman,Yakobo………Hawa nao ni Watenda Maovi!??? Kama ni Kweli!! ___Waliitoa wapi Ruhusa ya Kutenda Maovu kwa Utajiri wao waliopewa na Mungu!? #Iogope_Imani_yenye_Kukuumiza_na_Ukaikosa_pepo_pia. Karibu Katika Ardhi ya Amani. FreemanBase






