
Maisha Mabaya Yasiyo Na Kipato Cha Kuridhisha, YenyeNjaa, Dhiki, Magonjwa Na Migogoro Tofauti Tofauti Hakuna Hata Mmoja Anaye Yapenda. Wengi Wetu Huwadharau Watu wa Hali Ya Chini Hasa Kiuchumi Tukiamini ya Kuwa Ni Watu Walio Laaniwa Kwa Nguvu Za MUNGU….La Hasha!! Siyo Laana Za Mwenyezi Mungu….Bali ni Majaribu Yake Tu kwao,. Maisha Tuishio Sisi wanadamu ni Sawa Na Utabiri!!….Ambao Daima Huwez Kutimia Au Usitimie, Yote Yatategemea Sana Namna Unavyouchukulia/Unaupa Nafasi Gani Huo Utabiri Katika Maisha Yako!!?….Ukiupa Nafasi Kubwa Ya kuufikiria Basi Ndivyo Unavyoupa Nafasi ya Kutimia Kwake. Maisha Ya Hali ya Chini ni Ya Kila Mwanadamu, Utofauti ni Kwamba Mmoja Huukubali Na Kuendelea Na Maisha Hayo Hayo, LAKINI Mwingine Huyakataa Maisha Hayo Na Kujaribu Kuyatafuta Ayatakayo Yeye Mwenyewe, Na Huyu Pekee Ndiye Ambaye Hufanikiwa. Basi Kwa maana Hiyo USIKUBALI! Kuishi Maisha Ya Hali ya Chini Kamwe. Karibu Katika Ardhi ya Amani. #FreemanBase



