top of page

Maisha Uyaonavyo Ndiyo yalivyo!! Wengine wanajenga Majumba ya Kifahari/Maghorofa….Wananunua Magari ya Kifahari pia, Starehe zao ni Kula na Kunywa Katika Miji na Mahotel Makubwa. Lakini wewe Bado unasema Maisha Magumu!!!, Unakula Mlo Mmoja au Miwili kwa Siku!!..Starehe zako ni Makufuru kwa Mwenyezi Mungu!!…..Kunywa Pombe chafu, Uzinzi, Matusi, Majonzi na Huzuni zisizo na Mwisho!!! Unafikiri na Wewe ni Mmoja Wa Mwenye Laana ya Kuwepo Duniani!!!?
HAPANA!!.
UMEYAKOSA MAAMUZI YA MAISHA YAKO MWENYEWE. Kesho hauijui…..Maamuzi yafanye Sasa. Karibu Katika Ardhi ya Amani, FreemanBase.

bottom of page