NDANI GIZA,NJE MWANGA.
Yaliyo ndani yako hayawezi kuonekana bila ya maamuzi yako.
Upe nafasi uvuli wako katika maamuzi yako,nao utakuongoza palipo mwanga maana jua na mwezi humuangaza kila mmoja wetu na yaliyo mema utayaishi kwa iliyo tamaa njema na kuleta matokeo halisi katika maisha yako.
Yaliyo mema juu yako yamejificha ndani yako,hivyo yaibue na uyaishi.
Karibu katika Ardhi ya Amani. FREEMANBASE.
INSIDE DARKNESS, OUTSIDE LIGHTNESS.
What is inside you/your depth cannot be seen without your decisions.
Give space to your soul in your decisions,will guide you to the light because the sun and the moon illuminate each of us and the good you will live for the good and bring real results in your life.
What is good about you is hidden in you, so take it out and live it.
Welcome to the Land of Peace. FREEMANBASE.
