top of page
MAAMUZI SAHIHI,UHURU WA NAFSI.
Ukijiona umeshindwa kuwaza kesho yako na chako kizazi basi jua kuwa wewe ni usiyejithamini na kujitambua na huna unaloweza katika maisha yako.
Tambua kuwa maamuzi sahihi,uhuru wa nafsi,mtu mwenye busara hufanya maamuzi juu ya maisha yake yeye mwenyewe,lakini mjinga hufuata sauti,maneno na maoni ya umma.
Amini kuwa ndoto zako ni nguvu kuu na ufunguo wa kuyaishi mafanikio na malengo yako.
Karibu katika Ardhi ya Amani.
FREEMANBASE.

bottom of page