top of page
TAMBUA HAKUNA ALIYEZALIWA MASKINI
Kila mmoja wetu ni mwenye kujaaliwa mengi na makubwa kimwili,kiroho na kinafsi,lakini ulio utashi ndio zawadi kuu katika yote ya mwanadamu.
Yaliyo makubwa na yenye nguvu ni yaliyo tawala katika miliki yako kwakuwa kila mmoja wetu ni mwenye talanta na rasilimali kubwa na kuu katika ulimwengu tulionao.
Hivyo kuwa mwenye kujitambua,kujituma,kujitafuta daima na mwenye maamuzi sahihi uweze kumiliki rasilimali zako na talanta uliyozawadiwa kwakuwa nguvu na ukuu ndani yako ni uliojawa na utajiri wa milele.
Amka katika lindi la umaskini,maamuzi sahihi funguo ya talanta,rasilimali na miliki yako.
Karibu katika Ardhi ya Amani. FREEMANBASE.

bottom of page