top of page
Sifa na utukufu uliotukuka viwe kwake yeye aliye mkuu katika siku hii yenye ukuu,neema na baraka.
Kwa pamoja siku ya Leo wanafamilia wa Ardhi ya Amani tukiketi kumshukuru Mungu wetu kwa ukuu na nguvu yake juu yetu,kutujalia yote ya kheri na mema.
Busara na hekima zikatawale juu yetu kutuongoza katika kuuendeleza na kuulinda vyema Mila na tamaduni za Ardhi ya Amani.
Karibu katika Ardhi ya Amani. FREEMANBASE.

#TheLandOfPeace #FrenkSaimon #ShaniabinSalim #MaliaPaulo #freemanbase
bottom of page