top of page
Lengo la FreemanBase ni kuwaunganisha vijana kuwa kitu kimoja kupambana na adui Umasikini, Ujinga na maradhi. Kubadirishana ujuzi na maarifa. Kuzitumia fursa na kuzishinda changamoto zinazompelekea kijana kubaki nyuma kimaendeleo. Kijana ni taifa la leo na nguvu kazi ya taifa. #FREEMANBASE Inamuhamasisha kijana kutokubweteka na kukata tamaa ambapo kunampelekea kuingia kwenye makundi hatarishi na kujihusisha na shughuri hatarishi ambazo pia zinaweza kugharimu maisha yake ambapo kunapelekea taifa kurudi nyuma. #AFRIKA Ni taifa Moja Yatupasa kuamka kulijenga taifa letu Kuwa Lenye Nguvu, Na Historia Nzuri Siku Za Baadaye..
Karibu Katika Ardhi ya Amani, FreemanBase.

bottom of page