top of page
Daima Safari Hukosa Ukomo, Bali Husheheni Vituo pekee!
Grand Lodge Block #16, Dar Es salaam Tanzania, Imepokea Wahitimu Wa Masomo ya Imani Wasiopungua 45, Kutoka Nchi Zote za Ukand Wa Mashariki mwa Afrika.
Wanatarajia Kufanya Mitihani Yao, Kuwawezesha Hatua Zinazofuata Kuielekea Kheri Kuu. Elitrea, Ethiopia, Somalia, South Sudan, Uganda, Kenya, Tanzania, Rwanda, Burundi, D.R.Congo, Zambia, Malawi Mozambique.
Twawaombea Kheri na Hekima Katika Kumtafakari Mungu MKUU.
Karibu Katika Ardhi ya Amani, FreemanBase.



















bottom of page