Hakika Yaliyo Mema Huongozwa Na Hutendwa Na Walio Wema Kwa Umoja Na Amani Nafsini Mwao.
MKUTANO Uliokutanisha Mataifa Yote ya Kusini Mwa Jangwa la Sahara Visiwani Zanzibar Mnamo Kuanzia Tarehe 28-August Umetimitika Mnamo Tarehe 30-August Kwa Mengi Mema Katika Ardhi ya Amani Na Wote Walio Ndani Yake. Naam Ni Mema Yaendayo kwa Walio Wema Katika Ulimwengu Na Hakika Wanadamu Twastahili Upendo, Amani, Umoja na Mshikamano.
Walio yatafuta Na Kuyapanda Matunda Yaliyo Mema, Nyakati Za Mavuno Zaja, Kula, Kunywa na Kusaza, Na Kuuonyesha Ulimwengu Wema Wa Ardhi Ya Amani.
+255658685324__Tanzania.
+254781610601__Kenya.
+244998040780__Angola.
🇿🇦🇲🇬🇲🇿🇱🇸🇸🇿🇳🇦🇧🇼🇦🇴🇹🇿🇨🇩
Afrika ya Kusini, Mozambique, Zambia, Tanzania, Angola, Madagascar, Namibia, Lesotho, R.D.Congo, Swazland.