SIFA ZA KUJIUNGA FREEMANBASE.
Awali ya yote Yakupasa Ufuhamu kuwa sio kila mtu anaweza kujiunga na FreemanBase. Wapo wanao kataliwa na wapo wanao kubaliwa Kulingana Na Sifa Na Vigezo Mbalimbali. Baadhi yake ni Kama Vifuatavyo.
1 Awe mcha mungu(IMANI) -kupitia dini uliozaliwa 2. Awe msiri -Asie sema sema ovyo kila Anacho ona na kusikia 3. Awe na miaka kuanzia 18 na zaidi -Asiwe mtoto 4. Awe mpole na mwenye busara katika kuamua mambo(HEKIMA) -Namaanisha Asiwe mtu wa kugadhabika ovyo 5. Awe na kazi inayotambulika kwenye jamii -Yaani chanzo chake cha mapato Atachotumia kama mwamvuli wa mafanikio yake. 6 Awe tayari kutoa kafara ya mnyama elekezi -Yaweza kuwa mbuzi, kuku, fisi, mbweha chui, kondoo, n.k
Inapotokea Hana Sifa Hizi, Haruhusiwi Kabisa Kuwa Mmoja wetu,.. FreemanBase #ArdhiYaAmani.
