Untitled
- Aug 12, 2019
- 1 min read
Ukiwa Na Maumivu/Machungu Utatazama Nyuma Ulikotoka š±šŖ. Ukiwa Na Hofu Utayatazama Mazingira yanayo Kuzungukašš. Ukiwa Na Imani Utatazama Juušš¾šš¾. Je! Wewe Kwasasa Ni Mwenye Kutazama Wapi!?
Karibu Katika Ardhi ya Amani. FreemanBase.
