top of page
Nyakati Hizi ni Ngumu sana Kwa Asiyejitambua Kuishi. Utapoteza Utu Wako, Heshima Yako Na Hata Nafasi Yako Katika Jamii, Kwa Kushindwa Kujitambua. Yatupasa Sasa Kupata Somo la Kujitambua, Ili tufikie Ndoto Na Malengo Yetu Kwa Wakati Ulio Sahihi. Alika Ndugu,Jamaa, Na Marafiki Tupate Kujifunza Sote Kwa Pamoja. Karibu katika Aridhi ya Amani.
FreemanBase.






bottom of page