top of page
Fanya Ibada Yenye Mafanikio……. Usiwe Mjinga Kukesha Makanisani, Misikitini na Mahekalu Ungali Huna Tumaini Umejaa Matamaa.
Unatamani Mali za Watu, Wake za Watu, Magari ya Watu, Pesa Za Watu na Wakati Kila Siku Unafanya Kazi Ya Kutajirisha ANAYEKUPOTEZEA Njia Ya Kweli.😁😁 Na Umebaki Kuwa Masikini Usiye na Mbele Wala Nyuma, Kazi Kulalamika Ya Kuwa Maisha Ni Magumu, Kwani Wenye Maisha Mazuri Hawa Wanaishi Sayari ya Mars au Pluto!???
JITAFUTE UIJUE NAFASI YAKO.
Karibu Daima Katika Ardhi Ya Amani,
FreemanBase.

bottom of page