top of page

Tajiri Hana tofauti Yoyote na Maskini na Mwenye nacho Hana tofauti Yoyote na Asiye Kuwa Nacho, yote Ni miili iliyovishwa nyuo zilizotengenezwa kwa Makaratasi na Mawe. Ni Nani anakubali ya Kuwa Dhahabu Ni yeney thamani Zaidi ya Mchanga/Udongo?, Nani asemaye karatasi iliyo Chapiswa Namba Juu take Ni Yenye thamani kuliko tunda Juu ya Mti??……
Ikiwa mtu akiwa Mwenye njaa Hawezi Kula karatasi/Pesa au Dhahabu!! Basi vivyo Hivyo Utajiri Ni sisi tulioamua Kuupa thamani ya Uongo………………..
LITAENDELEA………….

bottom of page