
UTAVUNA ULICHOPANDA_________🕍. YOU’LL REAP WHAT YOU SOW___________🕍.
Mbegu tunazopanda Leo ni Mazao ya Msimu Ujao, Ukipanda Mbegu Mbaya Utavuna MABAYA, na Ukipanda mbegu nzuri Utavuna MAZURI. Okoa kesho Kwa Leo Kupanda mbegu Nzuri na Kuzimwagilia Kwa Imani na Upendo Wa Watu. Mungu Wa Ardhi ya Amani ataleta Mvua, Jua na Ustawi Wa Mazao yako, Panda Mbegu za Msamaha kwa Maadui zako. Panda Mbegu za Uvumilivu kwa Wapinzani wako. Panda Mbegu za Tabasamu kwa Marafiki zako. Kuwa Mfano bora Kwa Watoto/Familia yako. Kuwa Mchapakazi kwa Kazi zako. Kuwa Muadilifu kwa Waajili wako.
UBORA WAKO LEO NI MATOKEO YA KESHO.
Karibu Katika Ardhi ya Amani, FreemanBase.
🕍🕍🕍________________________🕍.
The seeds that we sow today are the Seasonal Fruit, When You Sow Bad Seeds You Will Reap Bad Things, and If you sow good seed You will reap the BEST. Save tomorrow For Sowing Good Seeds and Watering It With Faith And Love Of People. The God of Peace will bring rain, sun and prosperity to your crops, Sow Seeds of Forgiveness to Your Enemies. Plant Seeds of Endurance for Your Opponents. Plant Smile Seeds for Your Friends. Be a Good Example For Your Children / Family. Be Hardworking for Your Works. Be Fair to Your Subscribers.
YOUR IMPORTANCE WHERE ARE THE TOMORROW’S GOOD RESULTS. Welcome into the Land of Peace, FreemanBase
