
Tulio Wengi Sana Tuna Amini Na Kuisujudu Kauli Isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”, Bila ya Kutambua Ni Elimu Gani Ambayo Yaweza Kuwa Ni Ufunguo Kwetu, Kwani Elimu Nyingine Yaweza Kuwa Ndiyo “KUFURI” Kwa Maisha Yetu. Afrika Sisi Tumefanywa Kuwa Mazuzu, Wapumbavu Na Mapunda Kwa Kauli Ndogondogo Zilizotolewa Kale Na Watu wasio Wa Afrika. Tazama Katika Eneo lako Unaloishi Leo Hii Au Mazingira Ambayo Wewe Uliyatumia Kuipata Elimu Ambayo Leo Hii Unajihesabu Kati ya Wasomi Lakini Hauna Cha Kujivunia kutokana Na Elimu Yako. Mwanafunzi Kila Asubuhi Anaelekea Shule Akiwa Na Begi Kubwa Mno la Madaftari ya Masomo Tofauti yasiyopungua Saba, Yote Anatakiwa Kuyasoma Ndani ya Siku Moja Na Kuyaelewa Kwa Ajili ya Mitihani Kufaulu, Mwisho wa Siku Mwanafunzi Analipenda Somo Moja Tu Au Mawili Katika Masomo yake Na Ukija Mtihani Awe Na Zero Na Wengine Wamucheke😂😂. Watazame Leo Hii Wale Waliotuletea Elimu Hiyo Ambayo Waliisema Ndiyo Ufunguo Wa Maisha, Kila Siku Wanakuwa Professional 👨🏫 wa Jambo Fulani, Tena Moja Au Mawili Tu. Watazame Wana Sanaa (Wanamichezo,Wasanii,Wanamitindo, n.k) Je? Wana Elimu ya Madegree, Au Doctorate Katika Masomo Ndiyo Maana wakawa Ma Professional Katika wayafanyayo???. Watazame kama Akina • Lionel Messi •, Christian Ronaldo, Justin Bieber, Diamond Platnumz,(Mtanzania Mwenzetu), Jack Chain, Na Wengine Wengi….Je!? Wana Madegree Madarasani Hadi wakawa Hatua Walizonazo Sasa!??…….. Rudi Na Uangalie Wanaosema Mimi Nimesoma Sanaaa, Wanavyozurura Mitaani Huko kama Mbwa Koko!!…Ni Utumwa Kabisa Huu. Kitambue KIPAJI Cha Mwanao Na Ukiendeleze, Itambue NYOTA ya Mwanao Na Uifanyie Haki, Usimutese Mwanao Kila Siku Na Mizigo Katika Mabega Yake. HAUJACHELEWA BADO! KAribu Katika Ardhi ya Amani FreemanBase.
NYOTA YAKO NDIYO MAISHA YAKO.
Tanzania 🇹🇿 WhatsApp & Call +255658685324. Mr Frenk Saimon Email:freemanbase13@gmail.Com
Angola 🇦🇴 WhatsApp Pekee +244998040780 Freemanbase.angola Email:freemanbase.angola2018@hotmail.Com
Kenya 🇰🇪 Piga Simu / Call +254781610601 Freemanbase kenya Email:freemanbase13@gmail.Com.