top of page

Hekima Iliyo Katika Fahamu Zetu Ni Kuu Kupita Furaha na Faraja Tuipatayo Katika Ardhi ya Amani!,
Naam! Kwa Maana Hiyo Pekee, Sisi tu Daima Katika Kuendelea Kusonga Mbele Kuliko na Mwanga Ulio na Mwangaza Mkuu, Tupo Hapa Kuujenga Ulimwengu na Hakika Mjenzi Mkuu Wa Ulimwengu Ni Mungu Mkuu! Naye Yu Mwenye Kutuongoza Kwa Kusimama Mbele Yetu KUTUANGAZIA MWANGA wake Mkuu.
“Vijana Walio wadogo Wa Taifa La Leo! Ndiyo Wakuu Wa Taifa La Kesho na Kizazi Kinacho Kuja.”
Karibu Katika Ardhi ya Amani.
FreemanBase.



bottom of page