WANAFUNZI WASIOPUNGUA 50🗞️……..
- Aug 17, 2019
- 1 min read
Wanafunzi Wasiopungua 50, Waliopata Kuhitimu Masomo(Darasa) Yao Ya Imani, Chini ya Walimu Tofauti Tofauti Nchini Tanzania!, Usiku wa Tarehe 25, August 2019 Wanatarajia Kutunukiwa Shahada(Mataji) Zao Katika Ukumbi wa BLUE SYPHIER LODGE.
Mataji Hayo Ni Kwa Ajili ya Kutambua Juhudi Zao Katika Ardhi Ya Amani, Kama Pongezi na Motisha Kwao Kuendelea Kuzidumisha Tamaduni za Ardhi Ya Amani.
Master FRANK SAIMON, Kutoka Katika Lodge no #16, Anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi.
Karibu Katika Ardhi Ya Amani,
FreemanBase.
